jaman najaribu kuapply tcu fo second round na matokeo yangu yananiruhusu kuapply any koz...bt nikijarbu second round naambiwa nimemiss one cumposory subject wakati sio kweli....je tatizo ni nn
wadau
Msaada hapa.. Mfano mtu umeomba let say education Udom ukapata ila baadae ukaomba kwenda MD chuo hiko hiko, hii vp wakuu uwezkano wake ukoje kupata? Na kuhusu kubadilishiwa Mkopo inawezekana? Kwa...
BRN
SUMU KWA ELIMU YETU...
leo nikiwa ofsini nilipokuwa nimehudhulia kikao cha walimu nimepata wasaa wa kusikiliza ajenda za namna walimu wanavyopaswa na wanavyopambana kwa ajili ya elimu...
habari naomba kujuzwa kuhusu mafunzo ya uaskar magereza yaani jinsi ya kutuma maombi na chuo kiko wapi sifa za kujiunga na huwa wanaanza mafunzo mwez gani??
Habari wakuu Wa JLE,
Ninaomba kufahamishwa upatikanaji na utolewaji Wa degree with honour baada ya shahada ya kwanza.
Samahani sana kwa wale nitakaowakwaza kama mada hii ilishawahi kujadiliwa...
Kama wewe ni Mwalimu Mpya na Unahitaji kujua Mazingira ya sehemu uliyopangiwa au kukutana na Walimu wenzio basi toa maelezo yako hapa ili uweze kusaidiwa.
nimepangwa serengeti,naomba aliepangwa...
Asubuhi niliingia kwenye CAS nikaambiwa nimechaguliwa moja ya programs nilizoomba as hivi nimeingia nimeambiwa niombe tena tatizo nn?? Nimeuliza wengine wana tatizo km langu,msaada Tafadhali.
WADAU HABAR ZA KWENU,
mimi nina swali mmoja,nina mdogo wangu alifanya application ngazi ya degree na kwenye website ya nacte siku zilizopita.lakini cha kushangaza hakupokea email nacte yoyote...
Mwezi Septemba 2011 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilifanya Uteuzi wa Wakuu wapya wa Vyuo nchi nzima-Tanzania Bara na kuwabadilisha vituo wengine ambapo miongoni mwa Wateule wapya ni Bw...
Niadge WAKUU ? Kwa wale waliokosa nafasi vyuo vya afya kutokana na ushindani mkubwa hasa vyuo vya serikali: ila nina imani kwamba kwa wale waliokosa wameambiwa wa apply tena..
NOTE: kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.