habari
kuna mdogo wangu ana NTA level 7 a.k.a Advanced diploma ya ualimu ktk masomo ya Mathematics na Geography amekuwa akilipwa mshahara ambao upo in between degree and Ordinary diploma ,,sasa...
Mimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo...
Habar zenu wana jamvi.... Kwa yeyote mwnye uhitaji na vocha ya kuapply chuo kupitia TCUyaani FRESH FROM FORM SIX na wanataka kuendelea awasiliane nami kupitia 0659753377
Bei si sawa na na ya bodi...
Habari gani wakuu?
Binafsi, napenda sana kusafiri na kuishi tofauti na nyumbani kwa ajili ya maisha na kujifunza tamaduni na lugha tofauti. Nimehitimu shahada yangu ya kwanza na sina hata hamu ya...
Mbona kwenye profile yangu hasa kwenye vyuo nilivyochagua isipokuwa kimoja capacity vinaonesha "0"???? na hicho kimoja capacity yake inabadilika badilika? maana mara ya kwanza capacity ilikuwa...
Habari zenu wakuu. Nimemaliza form four mwaka Jana. Nina bios b, Chem c, physics d, engl b Na masomo yalobaki E. Sasa niliomba ordinary dipl ya maabara na nursing. Unfortunately nimekosa. Kwa kwa...
Wakuu msaada tafathal kwa anaejua chuo/vyuo vya clinical officer idara ya private vyene ada isiyo zidi MILIONI 2 .Msaada wenu unaitajika wakuu coz nataka kuxoma mwaka huu!! Ahsanteni WAKUU
Habarini Wana JF
Tume ya Vyuo Vikuu Imenza Kupokea Maombi ya Second selection. Kama kawaida chuo unachochagua kwenye second selection ndio unachoenda, na unavyochelewa chuo kikijaa basi unakosa...
Jamani mie ni miongoni mwa waliotuma maombi ktk chuo cha mati uyole mpaka sasa sielewi kama post wametoa,coz sijapata barua tafadhali mwenye no za mkuu wa chuo au za mwanachuo yeyote naomba...
Kuna Boss Alikua Anasema Kwamba Kupanda Daraja Kwa Sasa Haitegemei Miaka Uliyofanya Kazi.Wengi Tunajua Kila Baada Ya Miaka 3 Tunapanda Daraja.Ni Kweli Lakini Unaweza Ukae Hata Miaka 7 Hupandi...
Hivi kuna ulazima kusoma IT au Computer Science lazima uwe umesoma PCM au PCB? Maana nashindwa kuelewa wanaposema uwe lazima umesoma Physics. Naombeni msaada kwa mliosoma kozi hizi,maana TCU kuna...
Nimekutana na jamaa m1 yuko chuo kikuu ila kwa sababu ajira ni ngumu anataka arudie mtihani wa kidato cha nne kama PC ili asafishe cheti asome certificate au diploma yeyote ya AFYA.
Anaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.