jaman najaribu kuapply tcu fo second round na matokeo yangu yananiruhusu kuapply any koz...bt nikijarbu second round naambiwa nimemiss one cumposory subject wakati sio kweli....je tatizo ni nn
wadau
Mkuu KWA hyo unabishana na system?? Kufaulu so kigezo cha kuapply any course!! Waweza kuwa unachoomba kimeomba na wenye sifa zaidi yako wamejaza slots. Hanna masomo ambayo ukisoma una apply any course Chen vizur wengine kuna masomo ya o level wanataka use umefaulu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.