Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

nimemaliza form4 mwaka 2013 nimepata chemistr d bios c physics e math f geography d histr d civics d kiswahili d english b naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo kinacho weza nichukua kwa ufauluhu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naswali.. Km mtu Alichelew kutuma maombi TCU first round ,,,anaweza kutuma maombi second round itakapo anza? Au ni kwa wale tu walio apply wakakosa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba kujua utaratib wa jins fom sx wamalizapo utaratib wao wa kwenda chuo kwa waliofaulu huwa ukoje je nao wanasubr selection kam o level au wao n vp
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani top ten csee 2012 wamesahulika ? mpk leo hawajapokea chochote kama wa miaka mingine
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba tubadirishane vituo vya kazi mm nipo pwani wilaya ya rufiji nataka mwalimu kutoka wilaya hizi: sengerema ilemela au misungwi tumia namba hii 0716230503
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba tubadirishane vituo vya kazi mm nipo pwani wilaya ya rufiji nataka mwalimu kutoka wilaya hizi: sengerema ilemela au misungwi tumia namba hii 0716230503
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Ada ya kugharamia masomo ya elimu ya juu! Wanabodi! Habari. Mimi ni kijana wa kitanzania niliyekulia katika mazingira magumu pasipo malezi ya ndugu yeyote ile toka nikiwa na miaka 12 tu. Kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
kubadilishana kituo cha kazi SINGIDA WILAYA YA IKUNGI TO MBEYA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Nina tafuta kazi ya kufundisha masomo yafuatayo kwa ngazi ya Foundation courses, Certificate na Diploma: - Project Management, - Business Management, - Trade Policy and Development, - Tools for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMAN WAKUU WANAJAMVI KUNA MDOGO WANGU SELECTION ZIMETOKA LAKINI YEYE BAADO HAJACHAGULIWA JE NDIO KUSEMA KATEMWA AU?? STATUS YAAKE INASOMA HIVI Chosen Programmes...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu! Naomba kuuliza swala hili kuhusu elimu na ajira. Ivi ni fani zipi au ipi zinaendana na wakati husika huu tuliona katika kujipatia ajira...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika kipindi cha Kipima joto amesema ni asilimia 10 tu kati ya wanafunzi wenye uhitaji wa mikopo wanaopata mikopo ya elimu ya juu. Chanzo; ITV
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu me ninaomba kwa anaefahamu ada ya boarding kwa shule ya secondary makongo kwa mchepuo wa science anijuze tafathal?
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Habari wakuu....mi ni muhitimu wa chuo kikuu...nimehitimu Bachelor of Arts with Education...nipo dsm....nafundsha Geography na history..lakin pia kingereza....ninauwezo wa kufundsha English medium...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ndio nimetambua kuwa kwenye form za mikopo ya elimu ya juu nipo kwenye majina ya waliokosea, sababu ni not signed to local authority. Lakini nakumbuka nilipeleka kwa mtendaji wa kijiji...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
hali zenu wana jf nilikuw natk kuelew je ni website gan m2 anaweza kudownload paste paper za necta za masomo yote anaejuw tafadhal anijuze.
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Napata Wivu Sana Ninapoona Waganga, mapolisi, askari, madereva, makondakta, mainjinia, Mabamedi, mahotelia, wafanyakazi Wa Mitandao, na Wengine Wanapokua Wamevaa Uniform Muda Wa Kazi. Kwanini...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mwenye ufahamu anisaidie kama LAPF wanatoa mkopo wa Elimu .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali naomba usaidizi katika maswali haya: 1.Eleza mchango wa mwana isimu Noam Chomsky. 2.Jadili umuhimu wa uchunguzi wa kidayakronia na kisinkronia.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom