Kubadilisha course ukiwa chuoni

Kubadilisha course ukiwa chuoni

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,627
Reaction score
21,878
Msaada hapa.. Mfano mtu umeomba let say education Udom ukapata ila baadae ukaomba kwenda MD chuo hiko hiko, hii vp wakuu uwezkano wake ukoje kupata? Na kuhusu kubadilishiwa Mkopo inawezekana? Kwa wenye experience na hii kitu tafadhali.
 
Msaada wananchi system yenyewe first come first serve basis.
 
kuna mawili, ukifanikiwa kubadrisha poa,,,, ukigomewa pia poa..... wewe tu sasa...!!
 
itategemea na capacity ya hiyo course kama idadi inayohitajika imefika hautaweza kupata,
pia kama kuna nafasi itategemea na idadi ya mtakaoomba kubadili,
kuna kupata na kukosa..
 
itategemea na capacity ya hiyo course kama idadi inayohitajika imefika hautaweza kupata,
pia kama kuna nafasi itategemea na idadi ya mtakaoomba kubadili,
kuna kupata na kukosa..

Thanks mkuu Nimekuelewa sana.
 
ukichaguliwa education hauruhusiwi kuhama
 
Back
Top Bottom