Ba(hons)

Ba(hons)

baest

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
273
Reaction score
171
Habari wakuu Wa JLE,
Ninaomba kufahamishwa upatikanaji na utolewaji Wa degree with honour baada ya shahada ya kwanza.

Samahani sana kwa wale nitakaowakwaza kama mada hii ilishawahi kujadiliwa.

Asanteni
 
kwa navoskiaga 1. inabidi g.p.a iwe inapanda kila mwaka 2. sina uhakika wanasema uwe ujapata supplementary.......ahsante.
 
Molembe samahani mkuu nadhani jukwaa hili sio la first year au wanaoomba vyuo ..in jukwaa LA elimu.
Sidhani kama wote wanaouliza ni form six leaver.
Nadhani ni ukomavu Wa akili na kuchanganya na zako.so nakuheshimu na prejudgment zako bure kabisa. Najua in mhemuko Wa kujibu au kukatisha tamaa kuuliza.
Anyway asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom