Mafunzo ya Uaskari Magereza

Mafunzo ya Uaskari Magereza

Depretty

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
248
Reaction score
99
habari naomba kujuzwa kuhusu mafunzo ya uaskar magereza yaani jinsi ya kutuma maombi na chuo kiko wapi sifa za kujiunga na huwa wanaanza mafunzo mwez gani??
 
si hadi watangaze nafasi, cheki website ya wizara ya mambo ya ndani kama wametangaza kunakuwa na taarifa zote muhimu. Chuo kiko Mbeya Kiwira, sifa/vigezo ni kama za majeshi mengine ila usiwe mfupi tu!
 
Mbona wametoka juzi juzi tuu then utaweza mikiki mikiki ya kina nguvu ya nyani ww waulize watu wa uhamiaji walishazira kupeleka watu wao kule magereza wako vzr sana interm of training so kama upo tayal jipange kwenda kiwira ukapambane na baridi ya kule
 
Nguvu ya nyani yupo poa sana ukimjulia sema huwa anajifanya chizi wakati mwingine mpaka anajipiga nua.
 
Uhamiaji imekuwa kama umeme Wa tanesco.. Nafasi adimu kuipata
 
Mbona wametoka juzi juzi tuu then utaweza mikiki mikiki ya kina nguvu ya nyani ww waulize watu wa uhamiaji walishazira kupeleka watu wao kule magereza wako vzr sana interm of training so kama upo tayal jipange kwenda kiwira ukapambane na baridi ya kule

niko tayr nachoitaji kujua gharama za mafunzo na ni kwa mda gani pia huwa wanaweka matangazo yao ya kuita usajiri katika websites gan??
 
Back
Top Bottom