Dogo kahitimu kidato nne kachaguliwa udom kusoma ile kozi ya diploma, imeelekezwa kwa maelezo zaidi yapo kwenye website ya chuo na website ya chuo inazingua haifunguki, sasa dogo anataka...
Habari wanajamii
Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa jinsi ya kuanzisha chuo cha ualimu wa chekechea.
Vitu gani vinavyohusika katika uanzishaji n.k
Vyuo hivi huwa chini ya taasisi gani (VETA...
Wadau naomba kufahamishwa "wakati wa kujisajili NACTE kwa maombi ya undergraduate course nilisahau kuweka cheti cha grade A na ninasikia pia vinahtajika sa kwny profile yangu sehemu ya ku upload...
Habarini wa JF
Mimi ni mmoja wa wakereketwa wa Elimu. Nimemaliza kidato cha 6 mwaka 2014, nilipata DIV III.10
Nilikosa 1st Application mwaka 2014 and kwa kuwa nilikuwa msange JKT 823KJ...
Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia,
Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha...
Habar wakuu Wa jamvi naomba ufafanuzi kuhusu course hizi mbili Bachelor degree of procurement and logistics management v/s bachelor degree of transport and logistics management.
Nahtaji kujua IPI...
💢MSAADA💢
Jamani mnakifahamu chuo kinaitwa JOSIAH KIIBIRA UNIVERSITY COLLEDGE
naomba SIFA na TABIA za chuo hiki! Kuna mtu amejichqnganya kajaza chuo hiki!
Kwa course ya B. Sc Education
Hayawi hayawi sasa yamekua hatimaye wizara ya afya wamebandika majina ya waliochaguliwa katika makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo AKIBA kwa wale wa DSM
NB:Kwenye mtandao bado hawaja upload
Habari zenu wakuu,
Jamani, kuna neno moja ambalo wachangiaji wengi wanakosea kuliandika. Kuachia ngazi ya uongozi au nyadhifa, au madaraka mtu aliyopewa ni KUJIUZULU sio kujiudhuru au kujiuzuru...
Habari ndugu zangu. Naomba mwenye uelewe wa kunisaidia ktk hili jambo. Je unaweza kuwa umemalza digrii, ukaomba kusoma tena kozi nyingne kwa ngazi ya diploma au certificate kwa vyuo vya serikali...
habari
kuna mdogo wangu ana NTA level 7 a.k.a Advanced diploma ya ualimu ktk masomo ya Mathematics na Geography amekuwa akilipwa mshahara ambao upo in between degree and Ordinary diploma ,,sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.