son of king john2
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 131
- 33
BRN
SUMU KWA ELIMU YETU...
leo nikiwa ofsini nilipokuwa nimehudhulia kikao cha walimu nimepata wasaa wa kusikiliza ajenda za namna walimu wanavyopaswa na wanavyopambana kwa ajili ya elimu ya watoto wa kitanzania..
kikao kilikuwa na ajenda nyingi lakn mm nilivutiwa na ajenda moja kubwa....kwangu binafs hii ndiyo ajenda ambayo imekuwa kikako kwangu tangu ilipotajwa na kutolewa ufafanuzi akili yangu ilibaki kuijadl hii tu mpaka kikao kinaisha.....ni kweli nlikuwa naijadili kichwan ila nimeamua kuifungua na kwa umma ili nanyi mushirikiane nami katika kuijadili.....naaam.....ajenda yenyewe ni MPANGO WA KUINUA ELIMU KUPITIA BRN.....
kwa maelezo niliyopata leo mpango huu ulianzishwa na serikali kupitia wizara ya elimu ili kuinua ufaulu wa wanafunzi hasa shule za serikal ambazo zimekuwa zikifanya vibaya.....Hili ni wazo zuri lakini kilichomo ndani ya BRN...(BIG RESULT NOW) sidhan kama ni kizuri.....
Binafs nimeona ni sehem nyingine ambayo serikali iliamua kufanya kitu ili ionekane inafanya vzr kumbe si kweli...kumbukumbu zinaonesha matokeo ya kidato cha nne yalianza kuporomoka kuanzia mwaka 2009 na mwaka 2010....lakn mwaka 2012 hali ilikuwa mbaya sana na hivyo wakamua kusahihisha upya mthihan wa kidato cha nne na kuja na version two ya matoke(second draft)...lakn kama haikutosha halii ilikuwa si nzuri pia kwa kidato cha sita mwaka 2013 kwan ni wanafunzi 320+tu ndio walipata dvn1....wanafunzi 5000+ ndiyo walipata dvn 2 hivyo hali ilionekana kuwa mbaya..
ikumbukwe kuwa wanafunzi waliofanya mthihan wa kidato cha sita mwaka 2013 ndiyo waliofanya mthihan wa kidato cha nne mwaka 2010 na matokeo yao yakasemwa ni moja kati ya matokeo mabovu kuwahi kutokea nchini kwa kidato cha nne hivyo ingekuwa ni miijuza ya mchana kweupe kuwa na matokeo mazuri sana kidato cha sita kwan watu ni walewale ambao hawakufanya vzr kidato cha nne..(lakn miijuza hii imewezekana kupitia BRN!!)
mwaka 2014..matokeo yalikuwa mazuri kitaifa kwa kidato cha sita kiasi kwamba waluopata dvs 1walikuwa 4000+....yaan tofaut ya zaid ya watu 4000 kutoka 320+wa mwaka 2013 hadi 4000+wa mwaka 2014.....hii nadhan ni TANZANIA PEKEE MABADILIKO MAKUBWA KAMA HAYA YANAWEZEKANA...kutoka kwa wanafunzi waliofanya mthihan wa kidato cha nne mwaka 2011 na matokeo yao yakawa ni mabaya zaid kwa wale waliofanya mwaka mmoja nyuma yao wanakuja kubadilila na kufaulu kwa zaid ya 700%???(not accurately calculated) kweli hapa uongo ulitumika na wanaanchi tukafunika kombe mwanaharamu apite...
Nilejee kwenye kikao cha leo nilichotoka na mada ndefu kuhusu BRN......
Mwl mmoja ambaye yeye alihudhuria semina elekezi juu ya BRN alipewa nafas ya kutoa maelezo na katika maelezo yake ndipo nikapata mambo haya....
1.BRN haijushughilishi kupandisha elimu ili kupata watu waliofaulu sana kwa ajili ya kada mbalimbali bali inajishighulisha na wanafunzi ambao hawakuwa na uwezo wa kupata hata dvns 4 na hivyo kuwafanya wasipate ziro..hii inamana kwamba BRN inapandisha matokeo ya wanafunzi wenye uwezekano wa kupata zero angalau wapate hata D 2...kama mwanafunzi anauwezo wa kupata D 3 BRN haijuhusishi nae ili apate D 4 au hata C nakuendelea......swal la kujiuliza ni je kama ndo namna hii wasomi wa kulikomboa taifa katika kada tofauti wataongezeka wakati mnatibu wenye ziro na hamujishughulishi na wenye dvns 4&3 ili wapate 2&1???? kweli BRN imekuja kukuza elimu au kuficha elimu ya serikal kwa mfululizo wa matokeo mabaya tangu mwaka 2009???
2.Kupitia BRN mwalimu anaruhusiwa kuwatenga wanafunzi katika makundi.kulingana na learning capability yao... yaan kwamba kwa wanafunzi ambao ni fast learners wanakuwa na darasa lao na slow learners wanakuwa na darasa lao!! et ili spid ya mwalimu kufundisha iendane na uwezo wa wanafunzi.....lakn kumbuka hamna motivation inayotolewa kwa walimu kuweza kujituma mara dufu kwa hawa slow learners maana wao wanahitaji mda mrefu katika kujifunza....maana yake hapo lazm uwajibikaj wa mwalimu utakuwa ni ule tu wa mda wa kazi na hivyo kama wanafunzi ni slow learners hawatanufaika na kute.......itaendelea