Wadada,
Mimi na mke wangu tumeamua kutimiza ahadi tuliyomuahidi huyu mtoto ambaye ametusaidia kazi nyumbani kwa miaka 2 kuwa tutampeleka shule sasa tumeamua January mwakani kufanya hilo Mungu...
Mtu ana b+b+b+ameomba MD mwaka jana akakosa na mwaka huu nako ni hivyo hivyo.. So sad indeed, yaaani hata udom jaman?... Ila poa tu Uzur alikuwa kaomba diploma ya clinical medicine na kapata...
Zimepita siku kadhaa Baada ya tcu kutoa taarifa ya baadhi ya waombaji wa vyuo vya elimu ya juu kukubaliwa na waliokataliwa kupewa nafasi hadi tar18 kwaajili ya 2nd round.
Hali ya sintofahamu...
Afya wametoa majina ya waliochaguliwa ila unapaswa ku confirm mwisho tr 16 mwezi huu ingia kwenye profile yako kwa chini utaona chuo ulichochaguliwa then you have to confirm
Mimi nimefungua CA's wameniambia kuwa nimechaguliwa katika moja ya vyuo nilivyochagua lakini watanitumia hicho chuo soon wakimaliza kushughulikia second round.
Hivi mtu ukitaka kuwa mkemia mkuu either wa wilaya au mkoa,au ukitaka kuwa mkaguzi wa madawa na vipodozi au chemicals katika maduka na sehemu mbalimbali kama tbs.ni faculty gani utaisoma chuo...
polen na majukumu wapendwa samahani nilikua naomba msaada wenu nahitaji kujua vyuo vya Afya ambavyo ni vya binafsi ngazi ya cheti na diploma vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICER[C/O]please...
Wasalaam,
Hiki ni chuo cha ufundi jijini Arusha, junction ya Moshi na Nairobi roads.
Ningependa kukifaham zaidi. Mazingira, elimu ya hapo, wafanyakaz, wanafunzi, n.k
Napendelea kufanya kazi...
wana JF naombeni kwa mtu yeyote anayeifahamu shule ya kimamba sec iliyopo kilosa mimi nimechaguliwa kwnye hii katka tahasusi ya PCB. Kwa yeyote anaifaham anipe namba yake
HBR Zenu Wakuu,
Nataka Kujua Tetesi Za Kweli Juu Ya Watu Walioomba Kujiunga Na Vyuo Vikuu Kupitia Nacte Je Majina Yatatolewa Lini Wandugu?Heshma Kwenu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.