M Mudhihir New Member Joined Jul 16, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Sep 15, 2015 #1 Wanajamvi naomba mnisaidie hiyo course inahusiana na nini pia ukimaliza unatarajia kufanya kazi gani?
Wanajamvi naomba mnisaidie hiyo course inahusiana na nini pia ukimaliza unatarajia kufanya kazi gani?
Chacha Steven Mokiri JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 2,011 Reaction score 2,232 Sep 15, 2015 #2 Ni kama computer science/information technology, inapatikana SUA.