Katka profile yangu nimeandikiwa NOT SELECTED... Na katka machaguo manne kati ya matano niliyoomba nimeambiwa NOT ELIGIBLE...ila chaguo moja ndo nmeandikiwa ELIGIBLE niwait for selection....sasa...
natumaini mu wazima wenye afya tele kwa wale wagonjwa mungu awape ahueni na kupona kabisa nakumbuka takiribani miaka 22 iliyopita nilizaliwa na kwa msaada wa mungu nikakulia kwenye malezi mema na...
Jaman naombeni tujadili kuhusu wanafunzi tuliochaguliwa ktk profile ambapo tumepewa provisional selection, Sasa nin hatma yetu maana Muda pia unaenda jaman, mwenye kufahamu bc tujadili ili tuone...
Daa poleni sana kwa wale walio toa taarifa kwa marafik,jamaa,ndugu na Makazini kuwa wanakwenda chuo mwaka wa masomo 2015/16,
Alafu nafasi znazngua za chuo hahaha!! wkt wengne wanadai hata...
Mkuu wa chuo Eden Hills College,anatangaza nafasiza masomo ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATE kwa kozi zifuatazo: Teaching, Business Administration, Records Management, Journalism and...
:a s 41: nimepewa taarifa na moja ya wahusika udom kuwa majina yalichelewa kutumwa chuoni, so bado wanayfanyia kazi. Hivyo amesema kuwa wiki hii yatakuwa hewani.
But nacte ni wazembe sana...
Jambo pipo, nimepata selection ya chuo kimoja kibovu kweli na nimepangiwa faculty ambayo siipendi, nasikia huwa mtu unaweza ukahama chuo, hivi kuna madhara yoyote ukihamishwa chuo na je inahitaji...
habari za leo dadaz, kakaz, madogo akina mama na baba babu n.k shkamooni. i hope wazima wa afya namin sijambo kabisa mungu mkubwa.
naombeni kwa wanaokijua hiki chuo cha bagamoyo embu nijuzeni...
Ujuzi na uzoefu wenu katika hili ni muhimu sana kwangu hasa katika hii point ya mwisho ambapo naamua kuendelea nikasome hii koz au nibadili.Mwenye lolote anijuze tafadhali... ni Health Information...
Since 1980, nationals from Tanzania have been sponsored by the Australian Government through the Australia Awards to Study in Australia. Applicants from Tanzania are eligible to apply for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.