Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu najaribu kufungua website ya chuo cha NIT www.nit.ac.tz lakini haifunguki sijui tatizo ni web yenyewe au device yangu au hata nyie mnajaribu haifunguki?!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Me nimechaguliwa 2nd round katika chuo cha udom(wait for approval) kwa mujibu wa my tcu profile, asa nimekwenda kwenye web ya udom kudowload admission letter cha ajabu index yangu na jina la mzazi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
plz naiomba kupitia hapa!! ni ya barchelor kwa 2015/16 naitakuwa vzr kama unaweza kunipatia mawasiliano yao namba za simu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mpaka hapa nilpofkia nifanyaje???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa walewalio chaguliwa bagamoyo tushauriane na kujuzana habari mbalimbali zinazotuhusu
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za Ualimu kwa ngazi ya Stashahada na Stashahada ya Juu kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja...
0 Reactions
0 Replies
32K Views
Baadhi Ya Vyuo Vya serikali tayari but Government Bado just wait .
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waliochaguliwa ajuco tukutane hapa tuongelee yanayotuhusu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman wadau nimeapply kupitia tcu round3 zijafanikiwa hata moja naona nichange ndoto nkasome medical officer naomba msaada n vyuo gan vina hiyo course nkaombe make deadline n trh23
0 Reactions
17 Replies
7K Views
habar.ingia HAPA then yapakue
0 Reactions
0 Replies
2K Views
follow instruction
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau...... Kwa anae fahamu machache kuhusu open university of Tanzania naomba tupeane Maelezo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tembelea swahiliform blog kuweza kupata elimu kuhusu somo la kiswahili #kuhusu fonetiki kiundani. #kuhusu historia ya kiswahili. #kuhusu insha,barua. #kuhusu fasihi kiundani. #kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DOWNLOAD HAPA www.rucu.ac.tz/matangazo/MEDICAL%20FORM.docx
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ambaye anaweka email na passward ingoma kufunguka ukitaka kuangalia joining instruction upande wa afya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mdogo wangu amechaguliwa statistics,lakini anaona atakosa mkopo anataka afanya trasfer aweke education.,swali langu ni hili jee kuna course yyt ya education science au education mathematics ambazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamn wanajamvi habar za majukum? naomba mnishauri ktk hili, Toka niapply nacte mapema sana bado profile langu liko vil vile hat leo! Na baadhi ya watu profile zao zshaonesha some changes...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
naomba mwenye uelewa mzur kuhuusu degree ya nursing 1.utendaji kazi wake ulivyo? 2.je,kwa ni kwa jinsia zote ina-fit? 3.na vipi kuhusu malipo yake?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Mimi nimechagulia chuo cha afya cha bumbuli lakini nashindwa kupata joining instruction manake sioni hata website ya hiki chuo na wala sina contacts yoyote ya kwako. Hivo naomba msaada kwa mwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari.jaman anayefahamu kama jamaa washatoa selection za watu wa diploma,maana kuna ndugu anasema eti wamebandika chuoni,na ukichek wengine wapo mbali na dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom