kumbe watu wameomba imtu bado mmmhhh
naomba unijuze kina tatizo gan coz mwenyewe nli apply hapo ila ckupata kwa mapenz ya mungu nashukuru. ila naskia kuna sku kilifungwa coz kilipokea wanafunz moja kwa moja bila tcu pia naskia walitupa maiti so ikazua zenge sana miaka michache iliyopita. nini tena tatizo jingine ukitoa isshu ya uklubwa wa ada?kumbe watu wameomba imtu bado mmmhhh