Hii sasa wadau ni full majanga! eti vitabu vya yule jamaa wa udaku eti vimeingizwa katika mitaala ili kufundishia watoto wetu!
hivi waziri wa elimu yuko likizo au? Hii kwa kweli ni bora...
jaman kwa yoyote ambaye anayeifahamu facult ya Bachelor of education in guidance and counseling pale udom naomba anijuze kuhusiana na hii facult ajira zake, mkopo, inahusiana na nn kwa ujumla...
Wana Jf na imani mu buheri wa afya!
Nina binti yangu ana miaka miwili na nusu ananisumbua sana kuhusu shule. Natafuta shule ya awali Nursery school English medium ambayo ni nzuri na yenye...
Wadau,,, naomba Muongozo, nimekuwa provisional selected chuo cha Stephano Moshi Memorial University College through NACTE,, lakini profile inasema naweza kuedit mchaguo mpaka tarehe 24, mwenye...
Wakuu habari zenu! Nlifanya application ya community health, nikapata chuo na nika confirm ila profile yangu haijabadilika iko vilevile! Je, hapo kuna tatizo?
Ndugu wana jamvi hivi kuna mtu ana update zozote kwa wahitimu kidato cha NNE waliochaguliwa diploma ya ualimu naona kimya sana kwa Nacte karibuni sana wakuu kwa mawazo yenu.
Java technology allows you to work and play in a secure computing environment.
Upgrading to the latest Java version improves the security of your system, as older versions do not include the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.