Elimu ya ya bure Lowassa Itaendaje

dikai

Senior Member
May 24, 2015
125
7
hivi ikitokea Lowasa akashnda hii elimu ya bure itahusisha wanafunzi wote wa vyuo vya serikali na private au watakaonufaika ni wa vyuo vya serikali tu
 
hivi ikitokea Lowasa akashnda hii elimu ya bure itahusisha wanafunzi wote wa vyuo vya serikali na private au watakaonufaika ni wa vyuo vya serikali tu

Private ni private haihusiani na serikali hiyo kwa itahusu vyuo under govt
 
Vijana wenzangu changes ni muhimu sana bila kuangalia huyu ni mbovu au lah tufanye mabadiliko tu mana kufanya hivo ni hali ujasiri .Jpm we proud of u but let us make changes to encourage more attention for other leaders #VivaEl
 
Lowassa ndie Rais..kwisha.
1.3 Trilioni zinatosha kusomesha nchi nzima kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu..
Chezea Masai wewe.
 
Lowassa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa
Ccm Imechoka Tuitoe By Magufuli.
 
Elimu ya bure ni fedha CCM inakula fedha Lowassa atapeleka kwenye elimu kwisha
 
yaani mm nawaza nisilipe ada mapema nisikilize tamko siku ya kuapishwa kwake ili nijui hiyo elim bure tunaanza mwaka huu au mwakani...nisije nikalipa nikawapa kazi ya kunirudishia
 
yaani mm nawaza nisilipe ada mapema nisikilize tamko siku ya kuapishwa kwake ili nijui hiyo elim bure tunaanza mwaka huu au mwakani...nisije nikalipa nikawapa kazi ya kunirudishia

hahahaaa duh umenichekesha sana mkuu........
 
Back
Top Bottom