Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tunashkuru heslb kwa kutupatia mkopo!!!!!. Mungu AWABARIKI
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Jaman mm ni muhanga wa third round, nmejarb kulogin kwenye profile yang nkajarb kuedit na kuadd program, cha ajabu inakubali wakati deadline ilikuwa jana 14/10 tafadhar mwenye uelewa kuhusu jambo...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Mbna website Ya nacte haifunguki??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
utekelezaj wa sera mpya ya elimu ya mwaka 14/15 unaanza lin
0 Reactions
1 Replies
871 Views
habari wana jamvi Nmechaguliwa kusomea bachelor of education in mathematics kwenye chuo hapo juu lakini sjajua umuhimu wa hii course je ukimaliza unakuwa mwalimu wa hesabu tu au unajiriwa kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mie nimesoma private lakin nwaka jana baba aliachishwa alipo kua anafanya kazi ni Congo na barua alizo achishwa nazo zpo kwa lugha ya kifaransa,ndo izo pia nliziweka kwenye maombi yangu, sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili ni ongezeko la asilimia 13.3%,kutoka shilingi 7,500/= hadi shilingi 8,500/=source ni http://www.heslb.go.tz/docs/guideline/guidelines_2015_16.pdf ukurasa wa kumi na mbili,njooni tujadili...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
wale tutakao kuwepo university of Tanzania... karibuni udsm.ac.tz
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Aisee kwa foleni iliyopo hapo NACTE .inadhihirisha wazi watu wengi hawazielewi PROFILE ZAO
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Uchaguzi huu unategemea uthibitisho kutoka Chuoni" nauliza kua ukiandikiwa hivyo kwenye profile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eti kama nacte wameniandikia nipo selected kwny chuo igawa chuo hawajaconfm naweza kwenda kuchukua join chuoni?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unajuaje kwenye profile kuwa umekosa chuo na uombe upya Maana hatujaona official announcement ya nacte Msaada maaana huyu hajapata chuo mpk leo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
TCU waongeza round ya nne mpaka 23/10.Haya ni masuala ya kisiasa au wewe una maoni gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kesho jumanne serikali kupitia mhimili wake wa 'serikali kuu' itatia kambi kunako viwanja vya K.I.U-Dar branch kupitia mwakilishi wa kiongozi mkuu wa mhimili huo(DK Mrisho J.K) akiwakilishwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwalimu njoo arusha na mm nije katavi, mbeya au sumbawanga. idara sec 0755204636
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni shiling ngap mwanachuo anapaswa kutumia kwa mwezi au kwa siku ktk chuo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanasema DEADLINE FOR THIRD ROUND APPLICATION IS 14TH OCTOBER 2015 lakini mpaka saa ivi hawaoneshi kama system is closed for allowing processing au vipi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau kwa anae fahamu lolote kuhusu hii kozi na requirements zake za registration tafadhali naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kujua Kama Yatima wanaopata mkopo wa heslb,Nao pia wanakuja kurudisha mkopo wakimaliza chuo au kukatwa kwenye mshahara wakishaajiliwa..?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanaJF katika jukwaa la elimu Nimeshusha uzi huu ili kufahamu namna ya kulipa ada kwa kutumia mkopo unaotolewa... Bodi ya mkopo inakulipia ada moja kwa moja chuo au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom