Aliyefanikiwa kupata joining instruction St joseph Engneering and Technology

Hiyo Kozi ni nzuri sana bwana Mdogo. Mimi nilikuwa hapo St Joseph kwa sasa nakula maisha serikalini. Nenda kapambane fuata kilichokupeleka achana na magroup mengine. I wish you all the best.
 
Back
Top Bottom