elimu imenitoa mbali

elimu imenitoa mbali

mjuniour

Senior Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
130
Reaction score
37
natumaini mu wazima wenye afya tele kwa wale wagonjwa mungu awape ahueni na kupona kabisa nakumbuka takiribani miaka 22 iliyopita nilizaliwa na kwa msaada wa mungu nikakulia kwenye malezi mema na yenye maadili mazuri miaka saba baadae nikafanikiwa kuanza shule ya msingi iliyo nipa msingi mzuri wa kujiandaa kukabiliana na maisha baaa ya hapo nikafanikiwa kwenda kidato cha kwanza kupata elimu ya secondary iliyonipa mwanga wa kuanza maisha wa kuweza kujitegemea kulingana na kile nilicho pata darasani kweli elimu sio ya kwenye daftari bali ni kile kitu ulichobakiza kichwani baada ya kusoma na kitakunufaisha endapo iyo e limu utaifanyia kazi hakika utajuta kwanini ulisoma ningependa kuwashauri hakikisha unasoma kwa malengo ambao ni chaya usikat tamaa vikwazo ni lazima ili ikupe chachu ya kufanya vizuri zaidi .mfano adui ni mtu mzuri pengine kuliko rafiki najua mtashangaa kidogo lakini adui ndio anae kusababisha ufany kitu ili umuoneshe kama unaweza anaweza kwambia utafauru kwa maneno yake hayo utachukua hatua na kusoma kwa bidii ili afahamu umefauru tusikate tamaa
 
Back
Top Bottom