Habari zenu wana Jf
Naomba msaada wa kupata chuo cha afya kinachotoa kozi ya medical attendant ngazi ya certificate kiwe ndani au nje ya Dar es salaam.
Natanguliza shukrani
Habari!
Nimejaribu kufuatilia post nyingi humu za kuhusu transfer ya chuo lakini bado sijapa ufahamu mzuri kwa mtu aliyechaguliwa kupitia nacte.Maana kama sijakosea kwa wenzetu wa tcu wana hiyo...
Mpaka sasa sijajua kama nimechaguliwa kwenda chuo ama hapana. Profile yangu inasomeka hivi:JINA LANGU,Profile applied for Teachers Education NTA 7.
Wadau hii maana yake ni nini?
Wadau rejea kichwa cha habari hapo juu.....
Mimi nmechaguliwa kujiunga na chuo cha kcmc nkasome bsc prosthetics and orthotics...
Kwa walionitangulia hapo naomba ufafanuzi wa kina wa maisha ya pale...
Habari wadau, mimi nilipita katika first round nikapata NIT mech but majina yanakuja kutoka waliokuwa addmitted mimi simo mpaka sasa hivi third batch bado simo, ni nini hii? Naomba namba za TCU...
kwa wale wote walio soma na wanao soma koz hii naomba tufamishane kuhusu hi kozi kwa swala zima la ajira,mkopo na usomaji wake.mimi nimechaguliwa hiyo koz sua
Graduation kwa wahitimu wrote wa Diploma name Certificates, wa chuocha Eden Hills College -Kibaha,itafanyika tarehe 5-12-2015.wahitimu wote mnaombwa kuwasiliana na mkuu wa chuo kwa simu namba...
Wakuu heshima kwenu na poleni na harakati mbalimbali za kimaisha,,ndugu zangu namshukuru Mungu mwaka huu nimepangiwa chuo cha St john main campus faculty ya bachelor of science with education...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.