Ndugu wana jamvi niliomba udsm kupitia Nacte udsm wamenitema naenda Nacte wananipanga chuo kingine sikukipenda nikapewa fom nikajaze ili niombe chuo kingine naenda hicho chuo kufanya application sioni hiyo koz niliyo jaza nikaamua niombe kurudi chuo nilichopangiwa ndo nikafanya application online aiseeee mpaka sasa selected siioni mungu nisaidie ila sinto sahau