Kuna tofauti gani kati ya architecture na software architecture?

Kuna tofauti gani kati ya architecture na software architecture?

MBUNIFUmdogo

Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
40
Reaction score
9
WAKUU,tafadhali naombeni mnijuze ninyi kama great thinkers.

kuna tofauti gani kati ya architecture na software architecture?au software architecture imo ndani ya architecture?
 
Architecture ana husika na mambo ya building designing and constructing lakini software architecture anahudika na mambo ya software programing and designing.....ni mtazamo wangu subiri wataala zaidi watakuelewesha
 
Jibu lako linaonyesha kuwa huyo Architucture ni binadam, ukweli ni kwamba hiyo ni taaluma ya ubunifu wa Majenzi/majengo. Mtu aliye au anayechukua taaluma hiyo huitwa ni Architect. Sasa kuhusu hiyo software, ni program/s kwa ajili ya Mabunifu ya huo ujenzi. ArchCad,ACad et al ni miongoni mwa software au program hizo
 
Back
Top Bottom