Heeee hi hatari,watu walidhani kesho hiyo second lot itakuwa tayari,masaa 48 toka tarehe 6
Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam. Wanaendelea kuwaomba wahanga wa mikopo kuendelea kuvumilia kwa maana swala linakaribia kupata utatuzi hivi punde na wanaahidi matokeo mazuri ifikapo tarehe10 nov 2015.
ilo tamko wamelitoleaa wap??Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam. Wanaendelea kuwaomba wahanga wa mikopo kuendelea kuvumilia kwa maana swala linakaribia kupata utatuzi hivi punde na wanaahidi matokeo mazuri ifikapo tarehe10 nov 2015.
Yani ukiwa na shida unaweza kumsikiliza hata mlevi