Msaada: Kukosa mkopo awamu ya kwanza!

Msaada: Kukosa mkopo awamu ya kwanza!

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Habari nahitaji kujua kama mtu ambaye ameandikiwa not secured kwenye first lot atapatiwa mkopo kwenye second lot na Je kuandikiwa not secured kwa first lot ni kwamba una vigezo vya mkopo ila tu hujapata awamu ya kwanza au huenda ukakosa pia pamoja na kuandikiwa haupo first lot?
 
Back
Top Bottom