Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Rejea kichwa habari hapo juu. Mimi ni mwajiliwa mpya ktk serikali natafuta ufadhili wa mashirika au mtu binafsi niweze kutumiza ahadi ya kumsomesha mtoto wa kike wa dada yangu. Amemaliza darasa la 7 mwaka 2014 na kufeli baada ya kupata vitisho kutoka kwa babake aliyeahidi kumchinja endapo angefaulu.
Tafadhali kama una msaada nisaidie kama una mawazo nisaidie pia
Tafadhali kama una msaada nisaidie kama una mawazo nisaidie pia