Wanajamvi nina mdogo wangu anataka arisiti mtihani wa kidato cha nne mwakani 2016, ni shule gani nzuri yenye ufaulu mzuri kwa hapa DSM naweza kupata;
sifa
1. iwe ya boarding
2. trend nzuri ya...
hivi kwanini unakuta mtu anasoma yuko darasani mwalimu anafundisha, wewe kama wewe unakuta ni mmoja wapo, ila Mawazo yako hayako pale na wala umsikilizi yaani mawazo yamehama yako nje ya...
Ndugu wanajamvi namasikitiko makubwa vijana wetu wamepangiwa na Nacte Udsm lakini katika profile zao zilisema uthibitisho huo utategemea kutoka chuoni sasa najiuliza mpaka sasa majina website ya...
Habarini wakuu, Mimi ni mwanafunzi wa kiume was UDSM naomba kama kuna mwanafunzi atayeweza kunibeba au kuniuzia kitanda mabibo hostel anijulishe kupitia pm ahsanteni.
za asubuhi wakuu nimewapigia office ya adimission asubuhi hii wamesema bado wanasubiri majina mengine kutoka kwenye college husika ila hawana jibu la mojamoja kama watatoa round nyingine au la...
habari wakuu!
mimi huwa najiuliza,kwa nini PC huwa wanafeli sana ukilinganisha na SC ambao huwa hawafeli kiasi hicho? au mitihani ya PC huwa inatungwa migumu sana? naomba kujuzwa kwa wale ambao...
LEO NIMEGUNDUA JAMBO MIKOPO KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU 2015/16:
TUCHEZE NA HESABU KUPITIA NAMBA,
Idadi ya wanafunzi walioomba mkopo HESLB👉🏽👉🏽 70,000
Ada ya...
Ndugu wanaJF,
Kama kuna mtu wa TCU humu au anayejua naomba anieleze sababu za msingi zilizosababisha TCU kuamua kututwisha wanafunzi wa vyuo vikuu mzigo wa kuwalipa 20,000/=. Mikopo yenyewe...
kwa wale wote waliokosa nafasi za vyuo, chuo cha kampala kilichopo dar es salaam kinawatangazia kuwa nafasi hizo za masomo zipo na unakaribishwa sana, wasiliana nasi kupitia namba hii 0719902822
Habari zenu waungwana, nahitaji kujua utofauti kati ya degree ya account na CPA.
Na Je? Mwenye degree ya account with CPA na yule Mwenye degree ya kodi with CPA yupi ni marketable zaid...
Ndugu watanzania,
Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama...
Kaimu DEO idara ya sekondari na mtaaluma wanachangia sana kuangusha kiwango cha elimu hapa wilayani na hasa hapa shuleni kwetu Ewong'on.
Sisi waalim wa Ewong'on sekondari tulipeleka malalamiko...
HAYA TUSAIDIANE HAPA:
wanafunzi walioomba mkopo HESLB = 70,000
garama ya maombi= 50,000/= kila mwanafunzi
kiasi kilichoingizwa na HESLB = 70,000*50,000/=
=3,500,000,000
SASA BASI,
tumeambiwa...
Nafurahi kuwapongeza wote waliochaguliwa community health kwani mlikuwa wavumilivu ktk kusubiri selection hadi zilipotoka,
mliokosa msife moyo MUNGU ATAWAFUNGULIA MILANGO MINGINE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.