danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Wadau naombeni mnieleweshe kidogo.Mimi nilikuwa nachukua diploma ya clinical officer(mwaka wa kwanza) uongozi wa chuo ulivikusanya vyet vyetu vya form 4 na kuvipeleka wizara ya afya kwa ajili ya uhakiki hadi Leo havjarud .kwa bahat nzur mwaka huu niliomba degree ya udaktar na nikapata nafasi sasa huku kinahitajika cheti original cha 4m 4 .nimefuatilia chuon nikafanikiwa kupewa barua ya kuniwezesha kuchukua cheti toka wizarani .sasa naombeni wadaunijuze hawa jamaa wa wizaran hawana usumbufu.pili nikifika wizaran nam consult nani .tatu kama kuna maelekezo ya ziada naombeni mnipe.ahsanten