Mimi ni mpenzi wa muziki wa dansi wa bongo na Kongo Niko determined kujua kuimba nyimbo hizo just for fun. ni wapi naweza kujifunza na kufanya mszoezi?
batoOl balobi wenge musica ezokende na mayi
Leo baada ya kusoma tangazo katika gazeti la Daily News kuhusu maelekezo yaliyotolewa jana na Wizara ya Elimu kuhusu kuzizuia shule zote za binafsi kutotanganza ada mpya mpaka pale serikali...
Ni katika ngazi zote za elimu ili kuongeza ufaulu na ufanisi wa wanafunzi katika masomo na kuleta mabadiliko.
Vile vile kuna habari kuwa daraja la tano linafutwa muda si mrefu, halikuwa na tija...
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vyote nchini wamekuwa na utaratibu wa kulipia Bima ya Afya (NHIF) kiasi cha shilingi 50,400/= vyuoni kwao ili wapatiwe Kadi ya Bima ya Afya kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa...
miaka yangu saba kama mwalimu wa hisabati nimegundua asilimia kubwa ya wale wanafunzi wa kike warembo wanafeli somo langu kulinganisha na wale waliochukua sura za baba zao.hali iko kinyume kwa...
Angalia youtube demo apa na kudownload:https://youtu.be/bi09tPEaPAg
Photo Entry studio 1.0: ni program ambayo inaweza kutumika kuandaa picha za photot entry kwa wanafunzi wa kidato cha pili,nne na...
Wanajamvi mwenye kufahamu kitabu au jarida la historia au lugha ya Kiswahili linalozungumza juu ya asili ya shikamoo, atupie jina la kitabu na mwandishi.
Ni matumaini yangu kuwa nyote mko poa..
Nimechaguliwa kujiunga na course ya human resource management katika chuo cha institute of social works~Dar but sijiamini kama ntatoka kupitia course...
habar wanajamvi...nlkua naomba mnisaidie kwa yeyote
mwny ufaham niweze kupata hosteli za karibu na
chuo cha kairuki maana nimehamia hapo hlf nmekuta
pashajaa...samahan lkn
Ndugu wanajamvi nimesikitika sana Leo nimeenda bodi ya mikopo kufatilia transfer yangu ya mkopo inikute sehem nilipo, nilichokutana nacho jibu la kwanza hii inshu huwa inachukua muda ndani ya siku...
Bodi ya mikopo bado wanabip kasi ya magufuli kwa kuendeleza mazoea yale yale ungali wanajua kwamba watoto wa masikini ni wengi vyuoni tunaomba magufuli upitie bodi ya mikopo upya.
habar wanajamvi...nlkua naomba mnisaidie kwa yeyote mwny ufaham niweze kupata hosteli za karibu na chuo cha kairuki maana nimehamia hapo hlf nmekuta pashajaa...samahan lkn
Najua ni kazi ngumu kuonana na Rais ana kwa ana au mhusika yeyote wizarani hasa waziri mkuu au waziri atakae husika na Elimu.Naomba aangalie hoja hii:
Mwalimu anafundisha, mwalimu huyo huyo...
Dogo kamaliza pepa anataka kujiandaa na A level mapema sasa ni topic gani muhimu kusoma advanced level kwa masomo Ya sayansi physics chemistry and biology kwa tuition pia na notes kama zipo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.