Taafuta mwalimu wa shule yoyote ya advance ongea nae vizuri aakupe mitaala ya hayo masomo
Kwa haraka haraka bila kuzingatia mabadiliko ya syllabus kidato cha tano atasoma
Chemistry:General Chemistry and Physical Chemistry,Organic Chemistry na Inorganic Chemistry..Kuna hii inaitwa Soil Chemistry ila ipo sana form six
Biology:Cytology,Biochemistry,Principles of Classification,Nutrition(plants and animals) ,Coordination,Homeostasis and Excretion, etc
Physics.Mechanics(some of the subtopics have been shifted and are covered in form 6),Heat,Wave,Current and Static electricity(electrostatics).Aidha practicals zinatoka sana kwenye mechanics,heat and current electricity
Aanze na hivyo kwanza wakati mkitafuta syllabus