Kwanini Wasichana warembo hawamudu somo la hisabati

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,041
35,929
miaka yangu saba kama mwalimu wa hisabati nimegundua asilimia kubwa ya wale wanafunzi wa kike warembo wanafeli somo langu kulinganisha na wale waliochukua sura za baba zao.hali iko kinyume kwa rafiki yangu anayefundisha english,hawa warembo wengi wao wanafaulu zaidi somo lake.mpaka leo sijui sababu.
 
Kwahiyo ndo maana unawaitaga ghetto kuwafundisha na biology moja kwa moja
 
Katika maisha binadamu anatafuta kitu kinachomwongezea thamani kwa nguvu kidogo. Taabu yote ya hisabati ya nini wakati Mungu keshawatunuku?
 
Mkuu mdukuzi hicho ukisemacho sio law au formula inategemea na sababu mbalimbali,zikiwemo za kurithi uwezo wa wazazi wake,mazingira aliyolelewa na kukulia ikiwa ni pamoja na jamii inayomzunguka,msingi aliotoka nao elim ya awali,primary na kuendelea.

Hata mim nafundisha somo hilo hilo secondary unakuta hata mtoto wa sura na umbile la kawaida hawezi hesabu na mtoto mwenye umbile na sura nzuri anaweza hesabu.
Kwa hiyo it depend na sababu nilizozieleza hapo juu.
Nje ya mada ualim ni wito unautimiza ipasavyo?
 
Mbona mwanangu anafanya vizuri na ni mrembo kama mnavyoona?
 
Attachments

  • 1449327942613.jpg
    1449327942613.jpg
    24.5 KB · Views: 352
miaka yangu saba kama mwalimu wa hisabati nimegundua asilimia kubwa ya wale wanafunzi wa kike warembo wanafeli somo langu kulinganisha na wale waliochukua sura za baba zao.hali iko kinyume kwa rafiki yangu anayefundisha english,hawa warembo wengi wao wanafaulu zaidi somo lake.mpaka leo sijui sababu.

Nimesoma na wadada wakali wa hesabu, tena warembo vibaya
 
Mkuu mdukuzi hicho ukisemacho sio law au formula inategemea na sababu mbalimbali,zikiwemo za kurithi uwezo wa wazazi wake,mazingira aliyolelewa na kukulia ikiwa ni pamoja na jamii inayomzunguka,msingi aliotoka nao elim ya awali,primary na kuendelea.

Hata mim nafundisha somo hilo hilo secondary unakuta hata mtoto wa sura na umbile la kawaida hawezi hesabu na mtoto mwenye umbile na sura nzuri anaweza hesabu.
Kwa hiyo it depend na sababu nilizozieleza hapo juu.
Nje ya mada ualim ni wito unautimiza ipasavyo?

Inategemea na maandalizi ya mtoto katika somo la hesabu, wakati nilipo naanza darasa la kwanza, baba yetu nyumbani aliputatia ma book ambalo yeye mwenyewe ametuandikia jadueli kuanzia 2- 20 na na kuendelea. Alfajir tunapo toka msikini hakuna kulala tena.

Ilikuwa ni kusoma jadueli tu mpka saa moja, huku anakuuliza masuali kwa number yoyote, wakati nikiwa skool hesabu nilikuwa naiyona nyepesi sana, kuliko hata somo la kiswahili. Hio ndio foundation ya kumuuanda mtoto kwa hesabu
 
Hakuna somo rahisi kama hesabu believe me or not!! Hvi hesabu inayooongozwa na formula jaman. Nadhani ndo maana wajuzi na manguli wa hesabu maisha yanawashinda. Wakati wanapohitaji kutumia formula hzo kwenye maisha wanakuta maisha hayana formula. Huwa hapo nampendaga Mungu bureee, wwe umetusua class mbaya unakutana na wanyamwezi wana Mali hata kuandika jina lake tu ni inshu. Kujua hesabu si kila kitu jaman
 
miaka yangu saba kama mwalimu wa hisabati nimegundua asilimia kubwa ya wale wanafunzi wa kike warembo wanafeli somo langu kulinganisha na wale waliochukua sura za baba zao.hali iko kinyume kwa rafiki yangu anayefundisha english,hawa warembo wengi wao wanafaulu zaidi somo lake.mpaka leo sijui sababu.

Acha "stereotyping". Nenda Russia ambako robo tatu ya walimu wa hesabu ni akina dada halafu wote ni warembo.
 
Back
Top Bottom