Human resource management

Human resource management

theexalted

Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Ni matumaini yangu kuwa nyote mko poa..
Nimechaguliwa kujiunga na course ya human resource management katika chuo cha institute of social works~Dar but sijiamini kama ntatoka kupitia course hiyo..naombeni usauri wenu wadau..

Sent from my BlackBerry (aaron jeremiah)
 
we ni ke au me.
 
dogo kapige msuli hrm ni kozi nzuri sana yani ktk kila kampuni hakuna isiyokuwa na iyo idara chamsingo kazana labda mi ni declare interest tu mm ni hr pia kwa msaada zaidi wa ushauri ni pm
 
Chief.. Nimekupata na nashukuru kwa ushauri wako mkubwa..

Sent from my BlackBerry (aaron jeremiah)
 
Last edited by a moderator:
Ndg kasome kikubwa mwombe mungu kwn hkna koz y wadada n Wakak kasome hao wanaokushaur ndvy cvyo wanatak ukaibe akili zao hzna akli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom