Wana bodii
husika na kichwa cha habari hapo juu ,
Leo asubuhi uongozi wa serikali ya wanafunzi udom(UDOSO) college of informatics and visual education(CIVE) imewatangazia wanafunzi wote wa...
Nawasalimu wakuu.
Kichwa cha habari hapo juu ninashida ya notes za Statistical Analysis,mwenye nazo kama hard copy au soft copy naomba ani-pm tufanye mawasiliano. Nisaidieni wakuu
HAPA lazma jaman twende sawa hivi swala la First year wanasoma chuo kwa miezi MINNE semister ya kwanz na kupata likizo ya miezi minne ili kuwapisha mwaka wa pili waje wasome .na wao wakimaliza...
Kwanza salaam!
Liberia.
Ethiopia.
Hizi ni nchi mbili pekee barani Africa, inasemwa hazikuguswa na UKOLONI rasmi wa mabepari.
WANAHISTORIA naomba msaada wenu, kulikoni hawa nduguze hawakuwhi...
Imekuwa ni tabia ya Ma-lecturers wengi wa UDSM (Main Campus) kutumia baadhi ya wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao kwa ujira kwa Tsh. 5,000/= kwa siku.
Hivi sasa wanafuzi...
Salaam wanajf;
Chuo hiki pamoja na kuwa ni cha dini lakini wamekosa ubinadam kiasi kwamba ni wiki ya tatu sasa tumesaini mkopo,hatujapewa hela zetu japo bodi wamesha toa cheque tangia tarehe...
Ndugu wanajamvi Mimi ni mmoja wa watu tuliomba transfer ya chuo japokuwa nimeshafanya usajiri chuo nilichopo sasa but boom langu bado sijalisaini na nimeshapangiwa chuo kingine inabidi ningoje...
Habari ziwafikie waliokosa mikopo wote kwamba kesho tutakua na maandamano yatakayoanzia ofisi za bodi ya mikopo kuelekea kwenye ofisi ya waziri mkuu.
Wahusika ni wanachuo wote waliokosa mikopo...
Karibu ewe MZAZ au mlezi katika
kumuandalia mtoto wako maisha
yake baadae..shule ya sekondari
Nyalusi inawakaribisha vijana wote
wa darasa LA saba katka kujiunga
Na elimu ya sekondari kwa...
Kmuna ndugu yangu, mdogo wangu kapata mkopo wa bodi ya mikopo 90% ila kapta pia ufadhili wa kusoma nje ya nchi.
Je anaweza kuwaambia bodi wakampa mtu mwingine huo mkopo?
Ni vitu ambavyo vinatia hasira kwa kiasi kikubwa sana....
Cjaona umaana wa Tija ya BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU kuwa na ghorofa kubwa lamabilioni ya shilingi wakati kuna baadhi ya wanafunzi...
Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha...
Wanabodi!
Hatimaye uchaguzi mkuu umeisha na Dr Magufuli John Pombe Joseph ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais.
Katika mikutano ya mgombea urais anayeungwa na vyama vinavyounda umoja wa...
Habar wadau jukwaa la jamii elimu....naomba ushaur wenu katika hili kwa wale wenye uelewa katika vyuo hiv viwil...makumira ya arusha na iringa university...
Mim nilionba nafas kujiunga bba in...
Kuna udhaifu mwingi na uovu mwingi katika watendaji wa baadhi ya taasisi za vyuo kutojitambua na kusababisha migomo na uharibifu wa mali na mazingira!
Weka chuo ama taasisi hapa!
Embu wana-jf naomba tujenge hoja,hivi ni kweli walimu wa masomo ya sanaa wanatosheleza kwa sasa kiasi cha kutoajiri walimu hao?? Mashaka yanakuja uko maeneo ya vijijini ambapo tunaambiwa unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.