Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hallo Wana JF Ningependa kuuanzisha hii thread kwa wale wote waliochaguliwa kwa kozi ya SHERIA(LLB) Tukutane hapa na kupeana info zozote zinazoendana na hii Kozi yetu. Kwa wale walio na basics...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwanza natakunguliza shukran kwa wadau wa elimu ktk jukwaa hili mimi ni mwanafunzi niliyemaliza form four mwaka huu 2015 napenda kuuliza je ninaweza kuanza tuishen ya advance kwa mchepuo wa pcb...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Ndugu wana JF nahitaji kituo cha kufanyia mazoezi ya mitihani katika masomo ya Kiswahili 2 na language one Katika maeneo hayo. Ntashukuru mkienielekeza maeneo ntakayopata.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi Mimi nimefanya transfer huku nimeshasajiliwa, namaaniasha nimelipa ada pamoja na michango mingine na nimetoka chuo cha serikali nahamia cha serikali. Swali ni Je? Ninapohamia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman samahan mie nataka kununua smart phone ambay itanisaidia kupata material mbalimbali ili niweze kujisomea na kupata idea ya kujibu mwaswal, sasa sijui ni simu ya aina gani na ukubwa gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kuna MTU anasoma iae anitafute na hii namb plzzz,0762122817
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kuna mhanga wa kudaiwa birth certificate humu tupeane updates. Naona siku zinasogea wakuu na huenda kuna mtu kapata FEEDBACK kupitia simu au email etc.
0 Reactions
1 Replies
979 Views
It is better to meet here and discuss what to do with this matter remember the rich man's fate does not stink, you never know the tragedy till you have tried no one knows your safferings rather...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Habarini za asubuhi wakuu Kwa unyenyekevu kabisa nimeamua kuandika hapa kwa hisia za ndani ya nafsi kwani jambo hili linanigusa mimi na kundi kubwa sana la wanafunzi waliosoma diploma mbali mbali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mathematics - Algebra Questions and Answers (Revision Made Simple) - A Must have guide. Here are the solutions to the practice problems for Calculus. Some solutions will have more or less...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
tembelea swahiliformblog (petermwiza blog.spot.com) kuweza kupata elimu katika somo kiswahili topic kuanzi kidato cha kwanza hadi cha sita. topic au maada kama # aina za maneno. # aina za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba tusaidiane wanajukwaa
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Je mshahara wa diploma ya shule ya msingi na sekondari mshahara unalingana? naomba mnisaidie kama hujui ni bora ukae kimya kuliko kunidanganya. Maana nataka kufanya maamzi ya kipi ni some.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Naombeni Msaada was notes nzuri za topic ya THE RISE OF SOCIALISM kwaajili ya kidato cha sita.
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Habari, OUT is one of the oldest and the largest public university in Tanzania but nashindwa elewa kwanini Chuo Kikuu hiki bado hakina uongozi imara mpaka sasa. Watawala wengi wa Chuo hiki hasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa qualification za kujiunga degree kwa aliyesoma diploma nta level 6 na form 4 awe na credit ngap pia....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama ume apply chuo chochote inaezekana jina lako limetoka...ili kupata jina lako wasiliana na mkurugenzi wetu 0683368616
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,tujikumbushe kidogo maswala ya final year PROJECT Wewe tittle yako ilikua ipi? Ulikutwa na changamoto zipi? Vipi presentation ilikuaje? Haya twende tujikumbushe...... (Hii ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam, Naamini watanzania wengi tunapenda nchi yetu isonge mbele, na hili linaweza kubebwa vyema kama elimu yetu itakuwa kwa ajili ya kutukomboa Hivyo basi tuungane katika kushauri serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shule ina mihula mitatu. Kila mhula shilingi 325,000 sio bweni, usafiri 70,000 kwa mhula computer studies 30,000. Huyo ni mwanafunzi wa msingi. Gharama hizi ziko juu sana. Hiyo bodi ya shule sijui...
0 Reactions
37 Replies
16K Views
Back
Top Bottom