According to esteva(2010) "development occcupies the center of an incredbly powerful semantic constellation" over decades the concept has suffered the most dramatic in its meaning and...
Wakuu,nina mashaka na utendaji wa tcu,kipindi tuko chuo,kuna jamaa alidisco tukiwa mwaka wa pili hiyo ilikua 2013,cha ajabu jamaa saivi ana cheti kizuri cha kufoji chenye upper second na yuko...
mdogo wangu anasoma diploma ya geomatics sasa anataka akimaliza mwaka huu aombe degree atumie cerficate of geomatics na cheti cha form six(SDE PCM 2009),je nacte wanakubali au mpaka amalize diploma?
Wadau nimeona ITV leo mkurugenzi wa NACTE katangaza wanafunzi wote walioomba mkopo mwaka huu wamepata, lakini nina ndugu yangu hajapata kabisa anahangaika ku-appeal sasa hivi, yeyote mwenye...
Nikiwa bweni la Kimweri ground floor pale Sengerema sec. Rais Magufuli alinipiga fimbo tatu kwa kosa la kutokwenda darasani.. Niliona kama amenionea.
Kwa wale mliopita Sengerema mnajua mazingira...
Habari za majukumu wanajf? Mnaoumwa poleni sana na Mungu awaponye na azuie nguvu za ibilisi shetani.
Mimi nimehitimu O level mwaka 2009 na A level 2012. Huwa tukihitimu O level na matokeo...
Habari Jf,, Watumishi wengi wa sekta ya elimu(WAALIMU) wapo hivi:
🙊wambea kupitiliza
🙊majungu ya kijinga
🙊kukuchomea yeye haoni shida
🙊kuombeana vikwazo sana...
Habari ndugu.
Mimi ni kijana mdogo umri kati ya miaka 19~21 lakini dhumuni langu la kuja hapa nahitaji ushauri wenu kwa kuwa nimekuwa na hali ya kukubalika na jamii ya watu yaani namaanisha...
Katika hali isiyo tarajiwa wanafunz wa chuo kikuu cha kimataifa Kampala bado hawajapewa pesa zao kutokana na hali isiyo ya kawaida wanafunzi hao hawajapewa pesa zao mpaka leo kuna figisu figisu...
Ndug wana jamvi kuna mtu anatafuta chuo cha IT kwa Dar,,anataka asome had Diploma ijapokua amepata zero form 4 je afanyeje au ni vyuo vip anaweza kwenda na kutimiza lengo lake? Ushaur kwake pls,
Mimi naliita hili la heslb kuwanyima mkopo wanafunzi wanaoendelea kuwa ni janga la kitaifa naiomba serekali itangaze hali ya hatari na kuwafuta kazi Mara moja watumishi wote wa bodi ya mikopo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.