Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Uongozi wa chuo cha kumbukumbu ya Mwal. Nyerere unaonekana kuwa ni moja ya jipu lililoiva linalosubiri kutunguliwa. Swala hili linadhihirika wazi pale ambapo bodi ya mikopo kutoa fedha hizo mapema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wanadau naomba kwa yeyote anayefahamu tofauti angalau sita kati ya lugha ya mwanadamu na mawasiliano ya wanyama.
1 Reactions
1 Replies
16K Views
Wanafunzi wote walioomba mkopo wa kusoma Elimu ya juu wamepata, hii haijawahi kutokea tangu wimbi la vyuo na wanafunzi lilivyoikumba TanZania, na hii yote imewezekana ndani ya mwezi mmoja tu wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! I hope you are all good! I'm a university student na niko katika mchakato wa kandika research yangu ambayo iko qualitative na quantitative in nature. Nimekwisha kusanya data...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Naomba kuuliza kama kuna MTU aliyepata mkopo halafu ukaenda UDSM aliupata baada ya muda gani? Maanake na mm umepitia huko wakati nimehamishiwa chuo kingine.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasikitikia walimu wanaojiendeleza miaka hii kwani wanahujumiwa kupanda vyeo. Wasaidie wanaumia wafutie waraka huo.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ulipokuwa shuleni/chuoni ulisoma ukapata maarifa uliyoyahitaji.Je, ndoto zako zilitimia? Na kama hazikutimia hayo maarifa uliyopata unayatumia vipi katika kujiletea maendeleo wewe na jamii yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mie nilijua weekend hii wanatoa majina ya lot ya sita lakin hadi sasa bado kimya.anae jua lot ya sita inatoka lini mtujulishe jaman
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Lengo langu nifungue maabara ambayo itanifaa katika tafiti ninazozifanya hasa katika kutafiti ukweli katika magonjwa tuliyoaminishwa na watu weupe,, Nimeshafanya uchunguzi kwa kufatilia nakala za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa juu ya kikomo cha kuomba kubadirishana. je kunamuda ambao ndo deadline ya tukio hilo? Nauliza hivyo kwani nipo kwenye mchakato wa kubadirishana na mfanyakazi toka halimashauri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BW Hamis Chagonja. Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya serikali kuongeza kiasi cha fedha sh 132 bilioni kwaajili ya kugharamia masomo yao...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Natafta shule nzuri ya kumhamishia kijana wangu. Dogo anategemea kuingia form 3 mwakani Kwa sasa anasoma Trust St. Patrick School ina kama maendeleo yake hayaridhishi.. Shule nadhani ndio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka kujua elim ya kidato cha sita ina msaada gani mtaani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau Nipo 1st year now Niliomba loan nikapata 0% course y non-priority jamaa alokua ana support tution fees imetokea misunderstand he's no longer by my side I have to manage my...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF habariza majukumu? nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Mimi ni mwalimu wa hesabu, hivyo mara nyingi nalazimika kuchapa kazi zangu za hesabu kama mitihani nk. Changamoto niliyonayo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari. Natafuta shule kwa ajili ya mtoto wangu. nimeelekezwa shule ya wakorea maeneo ya Mbagala Kongowe? nani anaijua? naomba jina lake tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Jamani mimi mwanajukwaa mwenzenu naomba kuuliza kuhusu chuo cha Paradigms college of health and Allied Sciences kilichoko Kimara Dar Es Salaam. Je kinatambulika na NACTE na vipi ukihitimu...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Je unaweza kusomea udaktari bila kupita advance, yaani kupitia chuo na ni colleges zipi unaweza kusomea?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni mwalimu wa shule ya msingi. Njoo lindi aje tanga, moro, iringa, mbeya, njombe, songea au kibaha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom