Kama unaidai malimbikizo ya mshahara halmashauri yako

Kama unaidai malimbikizo ya mshahara halmashauri yako

kilindi yetu

Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Kwanini madeni ya walimu hayaishi? chanzo ninini,nani anayetakiwa alipe madeni hayo?,mbona kada zingine hazina madeni kama ya walimu.pia halmashauri zingine walimu hawana madeni ya kutisha kama zingine.walimu wa sengerema hongerani kwa kudai madeni yenu inaonesha mnajitambua na kujielewa sana MUNGU awaongoze daima..shida ipo wilaya ya kilindi walimu wanamadai ya muda mrefu saana lakini wamebweteka kama vipofu na hii ni kutokana na mfumo uliopo.Walimu wapya wanamadai yao lakini hawajalipwa.... hivi mbona halimashauri zingine zipo ACTIVE SANA.Walimu wapya walikosa mishahara yao mwezi MEI NA JUNI kisa eti muhusika wa kutuma document hazina alienda kuandikisha wapiga kura(BVR) jamaani hii ni hatari saaanaaa. MAJIPU YAMEIVA HUKU KILINDI yanahitaji kukamuliwa.
 
Back
Top Bottom