Mimi ni mpenzi wa muziki wa dansi wa bongo na Kongo Niko determined kujua kuimba nyimbo hizo just for fun. ni wapi naweza kujifunza na kufanya mszoezi?
batoOl balobi wenge musica ezokende na mayi
Wewe sikiliza tu nyimbo redioni au CD kama unazo, hapa suala ni kujifunza kuimba tu for fun, so think about it.Muziki wetu wa dansi uko juu sana isipokuwa kuna mabishoo redioni kwa makusudi wanataka kuufuta kimakusudi ili watumie vijana wa bongo fleva kuwauzia unga wao. Sasa hakuna mchezo Clouds watakoma, hakuna cha kuuza unga wala nini, hapa kazi tu.
Mimi ni mpenzi wa muziki wa dansi wa bongo na Kongo Niko determined kujua kuimba nyimbo hizo just for fun. ni wapi naweza kujifunza na kufanya mszoezi?
batoOl balobi wenge musica ezokende na mayi
Mutime muchovu mutime chawile na bolingo papa tata byeeee ikolengela na jobu buyi mingi kapali na sese tunanga dalinina kyee iko nasenge dansi ba Akudo impacto uli FM academia nori Malaika band music kwapaba Christiano Bella ....umeninyaka hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.