Josh Ramadhan
Member
- Nov 8, 2013
- 60
- 10
Mwenye kufahamu chuo cha ITA Kilipo anielekeze... Msaada
Kipo Dar ea salaam, Mikocheni karibu na kituo cha television cha ITV, kama alivyosema mdau hapo juu.
Utokako, unashuka kituo cha basi daladala ITV kama utatumia usafiri wa daladala.