Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Solve For Z If CosZ=2 where z = X+iY
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Endapo mtu amefaulu vizuri kidato cha nne. Physics, Biology na Chemistry B, B+, na A respectively. Kisha akataka kusomea udaktari; Je , ataanzia ngazi gani? Je ada yake ikoje katika vyuo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi guys, Nipo nje kwa muda sasa ukijumlisha na umri ulivyoenda nimeshindwa kufahamu form six wataanza mwezi wa ngapi mwaka kesho, mwenye data anisaidie ili nipange ratiba zangu vizuri ninapokuja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka Leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wanafunzi wa udom na vyuo vingine muwe na subira wakati wahusika wakiwa wanaendelea kuwashugulikia msiwe mnaitumia mitandao ya jamii kupaza kilio chenu wakati kilio chenu kimesha sikika! fedha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanajamvi,ningependa kujua kama mwanafunzi wa EGM anaweza kuingia kwenye course ya architecture.na pia kati ya Bs in architecture na Bs in land management and valuation,ipi inalipa kwenye soko la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hiv washajibu chochote juu ya scholarship za mozambique na pia jana mdogo angu anaangalia selection yake ya mozambique anakuta wamembadilishia na kumweka IFM yani sielewi imekaaje...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa aliekosa bumu tuwasiliane hapa tnakopesha pesa chap chap.uje na kitambulisho chako cha kura na ID ya chuo kwa first year.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SERIKALI YA WANAFUNZI UDSM(DARUSO). Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO) inapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu,economy associated with geology/mineral/petroleum or Gas ni course?na kama sio course,inatoka kwenye course gani?na je inalipa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi!? Ni takribani mwezi umetimia tangu tumefungua chuo na ni wiki ya pili sasa toka tumesainishwa boom lakini hadi sasa hamna kitu! Juzi Ijumaa walituahidi pesa tutapata siku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Daah! Baada ya kupelaka birth certificate na matokeo ambayo tulikuwa tuma miss..hadi Leo tuko depending au ndo tumekosa..wakati kweny vya habari wanasema watu wote tumepata...???
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa nini shule za binafsi zinazoongozwa na taasisi za kidini hazina ada kubwa? Ni lipi wanalofanya tofauti na hizi nyingine za bianafsi zinazotoza mamilioni ya ada kwa Wazazi na walezi? Kama...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa wenyeji au wanaoifahamu vizuri Kigamboni na maeneo jirani, naomba mnisaidie kujua shule inayofanya vizuri kimaadili na kitaaluma. Shule hiyo iwe ya bweni, kwa wavulana au mchanganyiko, pia...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wana jamvi,mimi ni Clinician kada ya CA natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kwa yule anayependa kufanyia kazi wilaya ya Sikonge Tabora tuwasiliane. Hususani wale wahudumu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza eti hii pesa ya special faculty kwa wanafunzi wa elimu ya juu huingiziwa mwezi wa ngap
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi Wanajamii, nataka kumleta mjini mtoto wa ndugu yangu yupo kijijini anasoma shule hizi za primary za serikali, sasa process zinakuwaje unaanzaje anzaje, maana wanaomlea ni wazee hawajui waanzaje...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom