Eti pesa ya special faculty huingia mwez wa ngap CHUONI

Wadau naomba kuuliza eti hii pesa ya special faculty kwa wanafunzi wa elimu ya juu huingiziwa mwezi wa ngap

Hiyo pesa haina muda maalum wa kuingia,inategemea na utaratibu wa chuo chenu
Kikawaida inatakiwa itolewe mwanzoni mwa semester ya mwaka wa huo wa masomo kwa sababu mahitaji maalum ya hiyo kozi yananunuliwa mwanzoni kabla shule haijakolea

Wasiliana na Waziri wa Fedha wa serikali ya chuo chenu wafuatilie kwa Loan Officer
 
Shukran sana mkuu kwa taarifa.
 
Ila cha ajabu kuna vyuo ikiwemo Bugando au Cuhas ambapo mm binafsi nipo Special falcuty inaishia kwenye a/c ya chuo mwanafunzi utaisikia tu na baadae kujidai eti imenunua makoti na bp machine wanazingua for real na kulipishana laki mbili kila mwaka for NHIF na kwingine wandugu iko hivyo??
 
Ndugu yangu 'whip worm'

Sisi wengine tupo kwenye vyuo vya serikali pesa yote inayokuja inaishia mifukoni mwa wanafunzi,madudu yetu ni shule nzito tu kutoka kwa walimu wanaa

Karibu Upanga Mashariki
 
Haya ma private institutions kama hilo jipu la cuhas wanaboa sana wanachojua ni kukukamua hela ndio priority kwao hata huku msuli ni wakibabe kama kawaida as machief kibao ni muhimbili syndrome i hope imenipata mkuu ila special falcuty inaniuma kinyama boss
 
Back
Top Bottom