MBUNIFUmdogo
Member
- Oct 15, 2015
- 40
- 9
wanajamvi,ningependa kujua kama mwanafunzi wa EGM anaweza kuingia kwenye course ya architecture.na pia kati ya Bs in architecture na Bs in land management and valuation,ipi inalipa kwenye soko la ajira na huku ajira lake lipo kwa wingi?