kipusi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 443 Reaction score 75 Dec 14, 2015 #1 kwa aliekosa bumu tuwasiliane hapa tnakopesha pesa chap chap.uje na kitambulisho chako cha kura na ID ya chuo kwa first year.
kwa aliekosa bumu tuwasiliane hapa tnakopesha pesa chap chap.uje na kitambulisho chako cha kura na ID ya chuo kwa first year.
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 754 Reaction score 441 Dec 14, 2015 #2 Mnakopesha kwa riba au kawaida kama na riba ni asilimia ngapi ?
kipusi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 443 Reaction score 75 Dec 14, 2015 Thread starter #3 Atwoki said: Mnakopesha kwa riba au kawaida kama na riba ni asilimia ngapi ? Click to expand... kwa riba ntafute kesho!! ila utakiwa uje na wazr wa mikopo wa serkar ya wanafunz.
Atwoki said: Mnakopesha kwa riba au kawaida kama na riba ni asilimia ngapi ? Click to expand... kwa riba ntafute kesho!! ila utakiwa uje na wazr wa mikopo wa serkar ya wanafunz.
Lepanto JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 1,162 Reaction score 500 Dec 14, 2015 #4 kipusi said: kwa aliekosa bumu tuwasiliane hapa tnakopesha pesa chap chap.uje na kitambulisho chako cha kura na ID ya chuo kwa first year. Click to expand... una kibali? Nyio ndio mnatafutwa. take care utapoteza hela yako.
kipusi said: kwa aliekosa bumu tuwasiliane hapa tnakopesha pesa chap chap.uje na kitambulisho chako cha kura na ID ya chuo kwa first year. Click to expand... una kibali? Nyio ndio mnatafutwa. take care utapoteza hela yako.
king mjuni Member Joined Oct 11, 2014 Posts 93 Reaction score 15 Dec 15, 2015 #5 Kwan umesikiaaa hawapewii amaa
kipusi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 443 Reaction score 75 Dec 15, 2015 Thread starter #6 Lepanto said: una kibali? Nyio ndio mnatafutwa. take care utapoteza hela yako. Click to expand... na nan ananitafta wkt tnasaidiana ndgu
Lepanto said: una kibali? Nyio ndio mnatafutwa. take care utapoteza hela yako. Click to expand... na nan ananitafta wkt tnasaidiana ndgu
kipusi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 443 Reaction score 75 Dec 15, 2015 Thread starter #7 king mjuni said: Kwan umesikiaaa hawapewii amaa Click to expand... mtapewa coz ni stahik zenu
king mjuni Member Joined Oct 11, 2014 Posts 93 Reaction score 15 Dec 15, 2015 #8 Mkopo unakuwa unadumu kwa muda gan
kipusi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 443 Reaction score 75 Dec 15, 2015 Thread starter #9 king mjuni said: Mkopo unakuwa unadumu kwa muda gan Click to expand... 3 week
S symphorianicky Member Joined Sep 16, 2014 Posts 48 Reaction score 5 Dec 15, 2015 #10 Wazo zuri ukitaka msosi fika ujasi wanawake wsnatuamini sana