Process za uhamisho wa mwanafunzi wa primary school

Process za uhamisho wa mwanafunzi wa primary school

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Hi Wanajamii, nataka kumleta mjini mtoto wa ndugu yangu yupo kijijini anasoma shule hizi za primary za serikali, sasa process zinakuwaje unaanzaje anzaje, maana wanaomlea ni wazee hawajui waanzaje kwahiyo nataka nimuelekeze mtu mmoja asaidie process ili aweze kuja kusoma mjini,

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom