RJ45
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 340
- 119
Habari zenu wanajamvi!?
Ni takribani mwezi umetimia tangu tumefungua chuo na ni wiki ya pili sasa toka tumesainishwa boom lakini hadi sasa hamna kitu! Juzi Ijumaa walituahidi pesa tutapata siku hiyohiyo lakini tumesubiri hadi naandika uzi huu hamna kilichofanyika!
Maisha chuoni yamekuwa magumu, watu ni full kupiga pasi ndefu lakini nashangaa tumekuwa wapole sijui hawa jamaa wameturoga?!
Nahisi mpaka tugome ndo watajua hatuna pesa! Kama hawatoi si bora wasemee??
Nawasilisha