Mabadiliko tunayoyaona Duniani ni mkusanyiko w maarifa, ujuzi,ubunifu na uvumbuzi,vitu vinachangia watu kuwa na nguvu za kuunda na kubuni vitu,huduma na teknolojia.Je wanafunzi...
Mabadiliko tunayoyaona Duniani ni mkusanyiko w maarifa, ujuzi,ubunifu na uvumbuzi,vitu vinachangia watu kuwa na nguvu za kuunda na kubuni vitu,huduma na teknolojia.Je wanafunzi...
Habari, kuna dogo ambaye alihitimu kidato cha NNE mwaka 2014. Akapata pass means div four. Sasa kinachomuumiza kichwa wapi aende kati chuo kusoma cheti procurement na supply au arisiti??? Nawasilisha.
Natumia simu aina ya Sony Xperia Z1 sasa wadungu imejifunga na sijui itaifunguaje, so kwa yule anae fahamu kufungua ,Naomba Anisaidie kufungua, imejilock na Lock za Pattern?
Mimi CLINTON M. MWALEMBE mwalimu wa SEKONDARI halmashauri ya URAMBO-TABORA, natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje huku mimi nije halmashauri Iringa
0756467645
Tumekusanyika wote, tumependeza kweli, ni kozi mbalimbali na tumetengwa vivyo hivyo!! Mimi nahitimu kozi ya Elimu ya Watu wazima (Bachelor of Education in Adult Education) ni furaha kweli. Ila...
Hizi mada za ualimu zimenigusa sana. ok mimi pia ni mwalimu katika halmashauli fulani. Mambo yanayonipata inafikia hatua natamani niachane tu na hii kazi
Ni hivi, baada ya kumaliza kujaza...
1. Rudisha somo la kilimo(agriculture) kwenye level zote kwa sababu ndo uti wa mgongo. Mnafundisha kilimo chuon wakati wanaolima ni form four leavers na standard seven.
2. Somo la...
Habari zenu wanajamii forum, naomba mnisaidie natafuta shule binafsi ya boarding kwa ajili ya mdogo wangu ili ahamie kidato cha tatu. Kwa yeyote ayejua shule nzuri tafadhali usisite
jamani wasomi naombeni tusaidieni kitu kimoja kila mmoja anajua kuwa ili uende kusoma vema drsn yakubidi uwe na afya njema yaani umeshiba lakini chakushangaza UDOM wawekezaji wanataka watajirikie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.