Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Chuo ninachoishi kila kitu ni kujitegemea sina pesa nimebakiwa na elfu kumi natakiwa niwe na PC na Smartphone.

Home kwetu masikini.
 
Kajaribu kumuona mshauri Wa wanafunzi hapo chuoni
 
Wengi humu tumepitia maisha hayo tukiwa chuo, kwanza sio kwamba bila laptop au Smart phone hauta graduate. Washkaji kibao wamemaliza chuo bila hayo mazaga so cha msingi usiji linganishe na mtu yoyote yule ishi kama wewe, njaa haiui ila itakuumiza kwa muda tu. Komaa maisha sio lelemama
 
Chuo ninachoishi kila kitu ni kujitegemea sina pesa nimebakiwa na elfu kumi natakiwa niwe na PC na Smartphone.

Home kwetu masikini.

Unaabisha taaluma na elimu uliyo nayo hadi sasa hiv.

If its seriously kweli andika na jieleze kwa mapana watu wakusaidie, tumia elimu yako ya communiacation skill kujipambanua, na kueleza watu

Huenda ni kweli unashida but ulivyoileta mada watu wanachukulia utani, na utakosa msaada, au ushauri muhimu
 
Amesema anatakiwa awe na pc na smartphone ila hana.

mkuu major mwenda, kwanza angesema anasoma "course" gani, pili aeleze kama amepata mkopo au la, na la tatu anasoma chuo gani? from there ndiyo mengine yangefuata.
 
Wewe kwanza wa kike au kiume?Kama wa kiume Jikaze na uache kulalamika...
 
Back
Top Bottom