Fedha za TP

Utapata kwani sisi mwaka 2014 tulipokuwa mwaka wa pili kuna watu hawakupewa pesa zao, walifatilia hatimaye kwa mbinde wakapata lakini hapo ukubali kupoteza muda wa masomo na nauli. Kwa sababu jamaa walienda kufatilia pesa zao kwenye ofisi za loan board zilizopo Dar.Ila hawakuwatumia loan ofisa waliopo chuoni, siunajua hawa jamaa wengi wao ni wababaishaji tu.
 
Back
Top Bottom