Walimu wakumbukwe

Gamba Jr

Member
Oct 29, 2015
12
0
Ni muda muafaka sasa serikali iangalie maslahi ya walimu kwa maana ya mishahara, makazi,mazingira ya kufanyia kazi na posho ya mazingira magumu hasa ukizingatia mazingira duni ya vijijini.
 
Wanajifanya hawasikii wala hawaambiliki, labda awamu hii wanaweza kujali walimu.
 
kama wameshindwa kufanya kazi kwa huo mshahara waache kazi kamwe hatuwezi walipa walimu kama mnavodai
 
Sasa tupo chini ya waziri mkuu ofis ya rais natumai masilahi yataongezeka nina iman kubwa kwa mwaka 2016
 
Mshahara hata ukibak pale sio mbays lakini kuwepo na teaching and house allowance
 
Askari pamoja na kufeli IV wanapewa kuanzia nguo za kuvaa, viatu, nyumba na makazi. Katikati ya mwezi wanapewa allowance.



Walimu nasikia mmefoji vyeti
 
Back
Top Bottom