Ile zitakuwa sinatumwa shuleni mojakwa moja hivyo mtazichakachua na Serikali haitajua. Pia waalimu wanaomiliki Stationery watapata tenda ya kuchapisha mitihani. Nawaona waalimu wakitajirika sasa kama wafanyakazi wa sekta nyingine.
Hawa walimu hawana majipu.Naona mnawalazimisha wajekamuliwa usaha na mtumbuaji.Mnachokifanya nyie kwa sasa naona mnawachana kwa visu ili baadae majeraha yatunge usaha.Walimu wenzangu wachangiaji wa mada tujitenge nao.
hizo pesa mi naona ni za wakuu wa shule,kama mwanzoni wakuu walikuwa hawasomi mapato kwa hizi ndo watasoma?.
Kwa shule za temeke nyingi zina hati chafu zaidi ya majalala ukitoa abdj.
elimu itaoza zaidi ya ilivyo sasa labda waje na brn ya pili ili ufaulu uwe hata wa wastani wa 09.
Acheni kuchekesha nyingi, ivi serikali mnaijua vizuri au, mimi nahamini elimu bure nchangamoto sana, hata hela watakazo ingiza zitakuwa hazikizi kabisa. Kama mmwongo mtaona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.