Anaejua kuhusu wapi pakupata scholarships

Anaejua kuhusu wapi pakupata scholarships

Kuna afterschoolAfrica.com
This is the best scholarship sites for Tanzanians. Ziko sites nyingi za scholarship ila hiyo Ndo inanafuu.but kwa uzoefu wangu,subiri 2016 ifike then Ndo watakuwa wametoa scholarships za 2017/2018.for now just focus kwenye studying.hats mimi ni form six na I was best at finding scholarships but in the end nikabe discouraged kwa. Principles zao na eligible students.kama wewe ni form six uliyemaliza na you are already enrolled na program hapa Tanzania,then you are not eligible to apply on countries having CAS systems.wanaoruhusiwa kusoma 1year kwenye scholarships za aina hii yaani umeanza kusoma 1 year kwenye allocated university na still uko eligible to the scholarship ni countries ambazo ziko na system ya sina hii 8-4-4.na am not sure kama tz tunaenda na hiyo system.

Ushauri wangu,subiri umalize undergraduate course hapa Tanzania then postgraduate ukasomee nje.lengo hapa nikuhakikisha kwamba una degree ya Tanzania ambayoiitatambulika wakati unaomba kazi hapa kwenu kazi.baadhi ya degree za vyuo vya nje huwa havitambuliki Tanzania.
 
But all the best Ben!but still una chance ya kuwa eligible kama wewe ni form six uliyemaliza mwaka huu na January Ndo going to university.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom